img

Waziri Mpango kutunuku wahitimu 389 wa ITA

November 25, 2020

Koku David, Dar Es Salaam WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt Philip Mpango anatarajiwa kushuhudia wahitimu 389 waliohitimu katika Chuo cha Kodi (ITA) na kutunukiwa vyeti katika mahafali ya 13 yatakayofanyika kesho chuoni hapo jijini Dar es Salaam. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mkuu wa Chuo cha ITA, Profesa Isaya Jairo alisema kuwa idadi,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *