img

Wananchi Kilimanjaro wahimizwa kuchangamkia matibabu bure

November 25, 2020

Na Mwandishi wetu, Kilimanjaro WAKAZI wa Mkoa wa Kilimanjaro na mikoa ya jirani wametakiwa kuchangamkia fursa ya huduma mbalimbali za afya ambazo zimeanza kutolewa bure kuanzia leo Novemba 25 hadi Desemba mosi, katika viwanja vya Mandele kata ya Pasua, Manispaa ya Moshi. Wito huo umetolewa leo Novemba 25, na Mkuu wa Mkoa huo, Dk. Anna,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *