img

‘Wajengeeni watoto utamaduni wa kusoma vitabu’

November 25, 2020

Na RAMADHAN HASSAN-DODOMA WATANZANIA wameshauriwa kuwa na utaratibu wa kusoma vitabu na kuwanunulia vitabu watoto wadogo ili wajenge tabia ya kujisomea tangu wakiwa wadogo. Hayo yalielezwa juzi jijini hapa na Mtunzi wa Vitabu Dk. George Adriano, wakati akizindua vitabu vyake vya  ‘The Power of Choice’ na ‘Why not today’.  “Ni kweli mazingira ya vijijini kwa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *