img

Viziwi wawezeshwa kufanya kazi kwa usalama

November 25, 2020

Na Mwandishi Wetu KUFUATIA mchango wa watu wenye ulemavu katika shughuli za uzalishaji nchini, Serikali imesema kuna umuhimu wa kuwawezesha kupitia mafunzo ya usalama na afya kazini pamoja na kuwapa mitaji ili wawaze kuboresha shughuli zao za kiuchumi. Kauli hiyo ilitolewa na Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Paul Ntinika, kwenye ufunguzi wa mafunzo ya kukuza,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *