img

Simba yaifuata Plateau na ‘silaha’ 24

November 25, 2020

NA ASHA KIGUNDULA-DAR ES SALAAM KIKOSI cha wachezaji 24 wa Simba kimendoka nchini jana kwenda Nigeria, kwa ajili ya mchezo wa awali wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Plateau United, utakaochezwa Jumamosi hii kwenye Uwanja wa New Jos. Taarifa iliyotolewa na uongozi wa klabu hiyo ilieleza kuwa, msafara wa timu hiyo ulioondoka nchini kupitia,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *