img

Rais wa zamani wa Niger, ameaga dunia

November 25, 2020

Katika taarifa ya maandishi iliyotolewa na serikali, ilitangazwa kuwa Mamadou alifariki akiwa na umri wa miaka 82 katika hospitali aliyokuwa akipatiwa matibabu katika mji mkuu wa Niamey.

Kutokana na kifo cha Mamadou, siku 3 za maombolezo ya kitaifa zimetangazwa nchini.

Mamadou, ambaye alichukua kiti cha urais kwa mara ya kwanza mnamo 1999, alichaguliwa kwa muhula wake wa pili na kutawala nchi hadi 2010.

Mamadou alipinduliwa katika mapinduzi ya kijeshi mnamo Februari 18, 2010.

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *