img

Rais wa Uturuki afanya mazungumzo ya simu na Rais Idriss Deby Itno wa Chad

November 25, 2020

Kulingana na taarifa kutoka kwa Wizara ya Mawasiliano, mazungumzo hayo yaligusia maswala ya kuboresha uhusiano wa Uturuki na Chad.

Katika mazungumzo hayo, Rais Erdoğan alisema kuwa wanataka kuimarisha ushirikiano na Chad katika kila uwanja na kuzingatia umuhimu mkubwa kwa maendeleo ya uhusiano wa kibiashara na kiuchumi.

Kulikuwa vilevile kuna kubadilishana maoni kuhusu uchaguzi ujao wa Sekretarieti Kuu ya Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu.

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *