img

Mtazamo wa wakazi wa kunduchi juu ya hali ya kutitia katika eneo lao nchini Tanzania

November 25, 2020

Wakazi wa Kunduchi Mtongani Jijini Dar es Salaam, wanaeleza jinsi wanavyokabiliana na hali ya kutitia katika eneo hilo, ambapo kwa mujibu wa wakazi hao wanasema imekuwepo kwa takribani miaka sita lakini sasa hali imekuwa mbaya zaidi.

Source link

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *