img

Kunywa pombe mwisho chupa tatu-Daktari

November 25, 2020

Na AVELINE KITOMARY DAKTARI bingwa wa afya ya akili  na uraibu wa dawa za kulevya wa Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala, Dk. Sostesjofu Mongu ameeleza unywaji wa pombe unaofaa kiafya  ili kuepukana kuwa tegemezi  na magonjwa yasiyoambukiza. Kwa mujibu  daktari huyo kiafya mwanamke anashauriwa  kunywa chupa saba za bia kwa wiki moja huku mwanaume akishauriwa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *