img

Kaka wa 21 Savage Aadaiwa Kuuawa kwa Kuchomwa Kisu

November 25, 2020

KAKA wa rapa maarufu nchini Shéyaa Bin Abraham-Joseph ’21 Savage’ aitwaye Terrell Davis ameuawa kwa kuchomwa kisu mjini London.

 

Davis mwenye umri wa miaka 27 alichomwa kisu hadi kufa kufuatia majibizano na rafiki yake juzi Jumapili (November 22) umeripoti mtandao Daily Mail.

 

21 Savage amethibitisha taarifa hizo kwa kuandika kwenye ukurasa wake wa Instagram; “Nashindwa kuamini kama kuna mtu amechukua uhai wako Kaka yangu, najua nimechukua hasira zako natamani ningerudisha muda,” aliandika 21 Savage.

The post Kaka wa 21 Savage Aadaiwa Kuuawa kwa Kuchomwa Kisu appeared first on Global Publishers.

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *