img

Halima mdee na wabuge wenzake walioapishwa jana waitwa makao makuu ya CHADEMA

November 25, 2020

 

“Naomba kutangaza kupitia vyombo vya habari kwa wanachama wetu 19 walioshoriki kwenda kula kiapo jana tarehe 24 kufika makao makuu ya Chama bila kukosa siku ya ijumaa tarehe 27 saa mbili kamili asubuhi kutoka popote pale walipo” – John Mnyika (Katiba Mkuu wa CHADEMA)

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *