img

Diamond azindua ziara ya Wasafi

November 25, 2020

Na BRIGHITER MASAKI-DAR ES SALAALAM. MSANII ambaye pia ni Mkurugenzi wa kituo cha Wasafi Media, Naseeb Abdul, ‘Diamond Platnumz’ amezindua  rasmi tamasha lake la Wasafi kwa mwaka huu na kulipa jina la ‘Tumewasha’. Akizungumza na waandishi wa habari, jana jijini Dar es Salaam, Diamond Platnumz alisema kuwa tamasha hilo kwa mwaka huu litaanzia Mkoa wa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *