img

Vikosi vya Tigray vyaamriwa kujisalimisha ndani ya saa 72

November 24, 2020

ADDIS ABABA, ETHIOPIA WAZIRI Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed ametoa muda wa saa 72 kwa vikosi vya jimbo la Tigray kusalimu amri kabla ya jeshi la serikali kuu halijaanza operesheni kubwa dhidi ya mji mkuu Mekelle. Waziri Mkuu Ahmed alituma ujumbe jana akisema anautaka umma wa Mekelle kujinusuru kutokana na mashambulizi ya mizinga na kujikomboa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *