img

VIDEO: Wabunge wa viti maalam 19 wa CHADEMA walioapishwa na Spika Ndugai leo

November 24, 2020

Wabunge wateule 19 wa viti Maalumu kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema CHADEMA wamefika bungeni kwaajili ya kuapishwa.
 
Wabunge hao ni Halima Mdee, Grace Tendega, Ester Matiko, Cecilia Pares, Ester Bulaya, Agnes Kaiza, Nuzrat Shaban Hanje, Jesca Kishoa, Stella Simon Fiao, Hawa Mwaifunga, Felista Deogratius Njau, Nagenjwa Kaboyoka, Sophia Mwakagenda, Kunt Majala, Tunza Malapo, Asna Mohamed, Anatropia Theones, Salome Makamba na Conjesta Rwamulaza.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI….USISAHAU KUSUBACRIBE

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *