img

VIDEO: Halima Mdee ala kiapo Bungeni

November 24, 2020

Aliyekuwa Mbunge wa Kawe Halima James Mdee akila kiapo mbele ya Spika wa Bunge Job Ndugai, kuwa mbunge wa viti maalum kwa tiketi ya CHADEMA hii leo katika viwanja vya Bunge.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI…….USISAHAU KUSUBSCRIBE¬†

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *