img

Utafiti: Asilimia 72 hawaelewi tiba ya mionzi

November 24, 2020

Na AVELINE KITOMARY-DAR ES SALAAM UTAFITI uliofanywa na Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI) umeonyesha kuwa asilimia 72 ya wananchi hawana uelewa kuhusu vipimo na tiba ya mionzi huku asilimia 64 ya wagonjwa wakipata huduma hiyo kwa kuwaamini madaktari. Akizungumza na MTANZANIA wakati wa mahojiano maalumu, mtaalamu bingwa wa matumizi ya mionzi katika taasisi hiyo, Steven Mkoloma,,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *