img

Tembo aliyeanguka kisimani alivyookolewa

November 24, 2020

Tembo mwenye umri wa miaka 25 ameokolewa baada ya kuanguka ndani ya kisima cha kina kirefu nchini India. Mkulima mmoja alimsikia tembo huyo ”akilia”na kutafuta usaidizi.

Source link

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *