img

Sababu uhaba wa saruji zatajwa

November 24, 2020

Na RAMADHAN HASSAN-DODOMA NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Ludovick Nduhiye amesema baadhi ya viwanda vinavyozalisha saruji nchini vilisimamisha au kupunguza viwango vya uzalishaji katika kipindi cha Oktoba na Novemba mwaka huu, hali iliyosababisha uhaba wa bidhaa hiyo. Nduhiye alisema hayo baada ya kufanya ziara katika viwanda vinavyozalisha saruji, mawakala na wasambazaji nchini, ili kubaini,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *