img

Ripoti: Afghanistan nchi hatari zaidi duniani kwa watoto

November 24, 2020

WARSAW, POLAND SHIRIKA moja la kimataifa la kuwaunga mkono watoto limetangaza kuwa, kuanzia mwaka 2005 hadi sasa watoto wapatao watano wamekuwa wakiuawa au kujeruhiwa kila siku nchini Afghanistan na kuifanya nchi hiyo kuwa hatari zaidi dunia kwa watoto. Shirika la Kimataifa la Kutetea Haki za Watoto la Save the Children limetangaza kuwa, Afghanistan ni nchi,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *