img

Rais Magufuli ateua watatu, wamo Dk. Shein, Mwakyembe

November 24, 2020

Na MWANDISHI WETU Rais wa Dk. John Magufuli amefanya uteuzi wa viongozi watatu leo Novemba 24, akiwamo Rais mstaafu wa Zanzibar. Rais Magufuli amemteua Rais mstaafu wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe. Dk. Shein anachukua nafasi ya Jaji mstaafu Barnabas Samatta ambaye anamaliza muda wake. Rais Magufuli pia amemteua,,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *