img

Mnyika Akana: Chadema Hatujapeleka Majina ya Viti Maalum NEC

November 24, 2020

Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema kuwa chama hicho hakijateua wabunge wa viti maalum na hivyo hakuna orodha iliyopelekwa Tume ya Taifa ha Uchaguzi (NEC). Mnyika amesema kuwa wanafuatilia kinachojiri na wakithibitisha hujuma au usaliti hawatosita kuchukua hatua.

 

The post Mnyika Akana: Chadema Hatujapeleka Majina ya Viti Maalum NEC appeared first on Global Publishers.

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *