img

Mbatia awageukia viongozi wa kidini kuomba mwafaka

November 24, 2020

Na LEONARD MANG’OHA -DAR ES SALAAM MWENYEKITI wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, ameshauri kufanyika kwa mazungumzo ili kupata mwafaka wa kitaifa utakaoliwezesha taifa kwenda mbele baada ya kuwapo kasoro mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Mbatia aliwataka viongozi wote wa kidini kutumia,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *