img

Kijana aliyeamua kufanya siri utajiri wake

November 24, 2020

Dakika 2 zilizopita

Adnan Ebrahim

Kwa muda mrefu nimekuwa nikivutiwa na masuala ya mtandaoni, sijui kuanzia lini,” anasema Adnan Ebrahim.

“Niliishi maisha yangu ya ujana mtandaoni, kujenga himaya ya bishara, wakati huo tukiishi viungani mwa mji wa Surrey (Uingereza),” anasema mwanabiashara huyo wa teknolojia mwenye umri wa miaka 30.

Mara ya kwanza aliona uwezekano wa kujipatia fedha mtandaoni, anasema, “ilikuwa baada ya kwanza kuuza bango maarufu za mkononi kwa wanafunzi wenzangu mwaka 2005-2006.”

Kutoka kwa chumba chake chuoni, alianzisha tovuti ya ‘Car Throttle ‘ , mtandao unaowalenga wapenzi wa magari.

Hiyo ni ishara kwamba kutoka nikiwa mtoto mdogo nilipendelea masuala ya biashara.

Japo alipata fedha haraka , alihofia kuzungumzia ufanisi wake, hata kwa wazazi wake.

“Maisha mengine”

Biashara ya kwanza ya Ebrahim ilikuwa kupitia mtandao wa intaneti.

Anasema alianza na kufanya biashara kupitia matandao wa eBay, ” bei ya bidhaa zinazouzwa mtandaoni ni ghali mara kumiss Julio bee halisi,” kwa hivyo alikuwa akienda mnadani kununua vitu na kuviuza mtandaoni.

“Alikuwa akimtuma mama yake kwenda madukani kununua bidhaa nyingi,” ambazo zilimpatia faida “fedha za kutosha kwa mtoto wa shule.”

Alipofikikisha umri wa miaka 16, alianza kuuza iPods, lakini alipewa ushauri mbaya na muuzaji reja reja wa bidhaa hiyo: “Nilipoteza paundi elfu kadhaa … aligundua baadae alikuwa muuzaji bandia.”

Baadae akaiamua kuingilia ulimwengu wa kuandika kwenye blogu, biashara ambayo kligeuka kuwa na faida zaidi.

Alipenda jana magari, kwa hivyo alianza kuandika taarifa kuhusu magari. Lakini mwanzoni ulikuwa mradi wa kisiri.

vender por internet

“Alikuwa akimtuma mama yake kwenda madukani kununua bidhaa nyingi,” ambazo zilimpatia faida “fedha za kutosha kwa mtoto wa shule.”

Alipofikikisha umri wa miaka 16, alianza kuuza iPods, lakini alipewa ushauri mbaya na muuzaji reja reja wa bidhaa hiyo: “Nilipoteza paundi elfu kadhaa … aligundua baadae alikuwa muuzaji bandia.”

Baadae akaiamua kuingilia ulimwengu wa kuandika kwenye blogu, biashara ambayo kligeuka kuwa na faida zaidi.

Alipenda sana magari, kwa hivyo alianza kuandika taarifa kuhusu magari. Lakini mwanzoni ulikuwa mradi wa kisiri.

Laptop

“Nilikuwa nikitoka shuleni kila jioni naandika taarifa zangu na kuzichapisha mtandoni. Siku iliyofuta, nilikuwa nikifuatilia kuona zilipokelewaje, Niliona jinsi watu wengi walivyosoma… Pia niliona jinsi nilivyotengeza hela kutoka kwa shirika la AdSense clicks kadri watu walivyosoma taarifa zangu,” alielezea.

Na hapo ndipo Ebrahim aligundua uwezekano wa kupata ufanisi kupitia biashara ya mtandoni.

Aliendelea kuandika taarifa na hell alizopokea zikafika dola “kumi, ishirini, hamsini, mia moja … na zaidi kwa mwezi.”

Aliendelea na biashara hiyo hadi alipofikisha umri wa miaka 18, baada ya kuiweka siri kwa wazazi wake hadi pale alipohitaji kuwekewa saini katika nyaraka zinazohitajika kisheria.

“Ni mambo la kushangaza, lakini nilipendezwa na hali ya kwamba Yamuna aliyejua kile nilichokuwa nafanya. Niliishi maisha mengine mtandaoni,” alisimulia.

“Niliaibika kidogo”

Alimchukua muda kuelezea marafiki zake kuhusu ufanisi wake.

“Hakuna hata mtu mmoja alijua hilo. Kando na Amelia yangu, Sikuwahi kuwafahamisha marafiki zangu.”

“Niliona haya kuwa nimeisha maisha mengine ya kisiri.Nimekuwa nikiandika kwenye blogu; Nilihofia watu watasema nini kuhusu kile ninachofanya,” alielezea.

Adnan Ebrahim

Hata alipomaliza shule ya upili na kujiunga na taasisi ya elimu ya juu aliendelea kuwa mwanablogu lakini hakuwahi kuwaelezea marafiki zake.

“Hata wanafunzi wenzangu tuliyoishi pamoja hakujua hilo hadi mwaka wa pili wa kuishi pamoja … hawakujua nilichikuwa nafanya mtandaoni,” anasema.

Mwanahabari na mwandishi wa vitabu Trevor Clawson amekuwa akiandika kuhusu ukuaji wa mashirika ya kiteknolojia na kampuni zinazoibuka kwa zaidi ya mwongo mmoja.

Anasema kugfanya mambo kisiri sio jambo la Lawanda miongoni mwa wafanyabiashara.

“Kuna sababu ambazo zinawafanya kutozungumzia biashara zao, hasa nyakati za mwanzoni,”anaelezea.

“Hofu ya kukosolewa huenda ikawa sababu kuu. Unapoanzisha kitu kipya, ukosoaji kutoka kwa marafiki na washirika ambao hawaelewi hoja yako haina ni changamoto kubwa, hususan kabla hujakamilisha unachofanya.

FDS

Wakati wa kumfichua mmiliki “Batman”

Ebrahim anasema ilimchukua “muda” kuelewa kwanza biashara yake ilikuwa nzuri kiasi cha kuwafahamisha marafiki zake:.

“Maisha yangu ya kisiri yalikuwa mtandaoni na sio kitu ambacho nilikuwa tayari kufahamisha ulimwengu

Anakumbuka vyema wakati alipomulezea mwanafunzi mwenzake wanaoishi pamoja chuoni kuhusu Car Throttle, akini haikuwa wakati wa kumfichua “mmiliki”.

“Nilisema, Nina jambo muhimu nataka kuwaambia. Nina tovuti. Na kabla sijamaliza kujieleza nakumbuka akiuliza swali ‘sasa iweje?’ Haikuwa kitu cha mane kwake, “anasema.

Lakaini punde nilipotaja neno “milioni” lilipoanza kujionesha katika maelezo yangu, mtazamo wake ulibadilika.

Adnan Ebrahim
Maelezo ya picha,

Ebrahim

“Hesabu za million zilianza kuja mwaka 2013, 2014, zone kwa msini wa thamani ya biashara yetu, kupata mapato ya kufikia milioni ya kwanza, na kufikia wafuatiliaji milioni moja wa kwanza katika mtandao wa YouTube, kuwa na mahsabiki milioni moja wa kwanza katika Facebook …tulipanda kwa kasI kubwai, “anasema he explains.

Aliunza Car Throttle mwaka 20019 kwa Dennis Publishing, baada ya kupata wafuatiliaji milioni 15 na video lake kutazamwa mara bilioni 2.5.

Douglas McCabe, mtaalamu wa masala ya habari na teknolojia na Afisa Mkuu Mtendaji wa shirika la Enders Analysis, anasema japo biashara haijaanza kuleta faida, inawafikia watu wengi, hali inayoashiria kadri muda unavyosonga faida yake itaanza kuonekana.

“Inawapatia fursa wateja wampya nafasi ya kujieleza, asilimia 60 kati yao wake chi y aumri wa miaka 35. Uwezo wake wa kufikia jamii ni muhimu sana kwasababu ina thamani ya karibu mara 14 hadi 17 ya kampuni ya kununua na kuuza safari ya Express na Car Buyer, ambazo zina majina ya magari ya Dennis,” anasema.

Ebrahim alitajwa na Marisa la Forbes kuwa miongoni mwa watu 30 wail na umbra wa chini ya miaka 30 ambao wamepata ufanisi zaidi mwaka 2020.

Anasema japokuwa hajuti kuhusu uamuzi aliyofanya siku zilizopita, lakini anatamani angelikuwa “amechangamkia fursa zaidi.”

Una mujer con una computadora

“Nadhani ukiwa mdogo, unakabiliwa sana na hali ta kutojiamini ,”aliongeza kusema.

Ben Laker, profesa wa masala ya uongozi katika chum cha mafunzo ya biashara ya Henley, anasema viongozi wadogo katika ulingo wa biashara mara nyingi huhofia ufanisi wao wenyewe.

Ebrahim kwanza sasa ni Afisa Mkuu Mtendaji wa kampuni ya MindLabs, inayoshughulikia masuala ya afya ya akili, aliyoanzishwa kwa ushirikiano na mwanbiashara mwenza Gabor Szedlak, kwa lengo la “kufanya ulimwengu mahali pazuri pa kuishi.”

Anawashauri wafanyabiashara wanaoibuka katika nyanja ya teknolojia: “Kupata ufanisi sio njia rahisi, utakutana na milima na mabonde kabla ufikie ndoto yako. Lazima ufahamu kuwa utafanya makosa na hilo ni jambo la kawaida kabisa.”

“Uvumilivu ni sifa kubwa unayotakiwa kuwa nayo. Mara nyingi ni ngumu, hakuna kitu kinachoweza kutumika kuelezea maana ya neno hilo.”

Source link

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *