img

Kagere, Luis waandaliwa kuwavuruga Wanigeria

November 24, 2020

Na WINFIRIDA MTOI, DAR ES SALAAM KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, yupo katika maandalizi kabambe ya Ligi ya Mabingwa Afrika, huku akiwapa kazi maalum Luis Miquissone na Meddie Kagere baada ya kumaliza majukumu ya timu za Taifa na kupewa tizi maalum. Luis na Kagere walikosa mchezo uliopita dhidi ya Coastal Union kutokana na majukumu,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *