img

Ester Bulaya aapishwa kuwa Mbunge wa Viti maalum wa CHADEMA

November 24, 2020

Aliyekuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Bunda Mjini, Ester Bulaya ameapishwa kuwa Mbunge wa Viti maalum wa ( CHADEMA). Mbunge huyo ameapa mbele ya Spika wa Bunge, Job Ndugai na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Adelarduas Kilangi Leo Novemba 24, 2020

“Kanuni zinasema mbunge ataapishwa mbele ya spika na sio mbele ya Bunge ndio maana wabunge hawa wameapishwa nje ya Ukumbi wa Bunge,

Utaratibu Ulirekebishwa katika kanuni mpya zinazotumika katika Bunge la 12, Marekebisho hayo yanatokana na kuwa Wabunge wanaoteuliwa wamekuwa wakichelewa kuanza majukumu yao kutokana na kutakiwa kusubiri hadi kuanza kwa mkutao wa Bunge unaofuata”

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *