img

Dk. Kimei akabidhi mchango wa mabweni

November 24, 2020

Na MWANDISHI WETU-MOSHI IKIWA ni takribani mwezi mmoja tangu kuchaguliwa kuwa mbunge wa Jimbo la Vunjo kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28 mwaka huu, aliyekuwa Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Dk Charles Kimei ameanza utekelezaji wa ahadi zake kwa kasi kubwa. Jana, Dk Kimei alikabidhi Sh milioni nne ambayo ni ahadi,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *