img

Charli D’Amelio afikisha mashabiki milioni 100 Tik Tok

November 24, 2020

Charli D’Amelio ni msichana mwenye miaka 16 ambaye kwa sasa ndio bingwa wa Mtandao wa TikTok kwa kua wa kwanza kufikisha mashabiki milioni 100.

Charli kutoka Norwalk, Connecticut, amepiga hatua hiyo baada ya mwaka mmoja na nusu kwenye programu hiyo.

Source link

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *