img

Babu mbaroni akituhumiwa kumpa mimba mjukuu wake wa miaka 13

November 24, 2020

NA TIGANYA VINCENT-TABORA JESHI la Polisi mkoani Tabora linamshikilia mzee wa miaka 67 kwa tuhuma za unyanyasi wa kijinsia na kusababisha ujauzito kwa mtoto wa miaka 13 ambaye ni mjukuu wake. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Tabora, ACP Barnabas Mwakalukwa alisema Novemba 13, mwaka huu, mama mzazi wa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *