img

wanamuziki Maarufu kushirikiana kimziki

November 23, 2020

Muimbaji nyota wa Bongo, Diamond Platnumz amewaacha mashabiki zake na kiu baada ya mwanamziki mashuhuri wa Lingala, Koffi Olomide kudokeza kuwa amefika nchini Tanzania kushirikiana na Diamond kufanya mziki mzuri wa afrika mashariki. Miongoni mwa wasanii kutoka congo kufanya muziki na Diamond ni Fally Ipupa ,Innoss b ya levis na Mohombi. Diamond na Koffi wanatarajiwa kuimba kibao cha Papa Mobimba kwa muundo tofauti.

Source link

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *