img

Waathirika dawa za kulevya waomba elimu wakipokea msaada wa Meridian Bet

November 23, 2020

Mwandishi Wetu Waathirika wa dawa za kulevya wanaotibiwa kwenye kituo cha Pedderef kilichopo Kigamboni, Dar es Salaam, wameomba jamii ipewe elimu ya kutowanyanyapaa na kuwaona kama watu wasioaminika. Waathirika hao wametoa kauli hiyo jana wakati wakipokea msaada wa vyakula na mahitaji mbalimbali vilivyotolewa na kampuni ya kubashiri ya Meridian Bet. Mmiliki wa kituo hicho, Nuru,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *