img

Viziwi wawezeshwa kufanya kazi kwa usalama

November 23, 2020

Na Mwandishi Wetu Kufuatia mchango mkubwa wa watu wenye ulemavu katika shughuli za uzalishaji nchini, serikali imesema kuna umuhimu wa kuwawezesha kupitia mafunzo ya usalama na afya kazini pamoja na kuwapa mitaji ili wawaze kuboresha shughuli zao za kiuchumi. Kauli hiyo ya serikali imetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Paul Ntinika, ambaye alimwakilisha Mkuu,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *