img

VIDEO: Mshauri wa mradi wa ujenzi wa daraja la Ulongoni amchefua RC Dar

November 23, 2020

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge ameonyesha kutoridhishwa na kasi ya Mkandarasi wa kampuni ya CICO anayetekeleza Mradi wa ujezi wa Daraja la Ulongoni “A” ambalo Ujenzi wake umekuwa ukisuasua jambo linalosababisha usumbufu kwa wakazi wa Ulongoni. Kutokana na hilo RC Kunenge ametoa agizo kwa mkandarasi, mshauri Mradi,mratibu wa DMDP kufika ofisini kwake Jumatano ya November 25 huku akimuelekeza meneja wa TANROAD Mkoa kumpatia Mtaalamu wa kufanya ufuatiliaji na uchunguzi wa utendaji kazi tangu kuanza kwa Mradi huo Hadi sasa.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI…..USISAHAU KUSUBSCRIBE  

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *