img

TPDC yang’ara mashindano ya Shimuta, yaichapa TBS

November 23, 2020

Na MWANDISHI WETU TIMU ya Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC) leo wameibuka na ushindi wa seti 2-0 katika mchezo wa kuvuta kamba dhidi ya timu ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) katika muendelezo wa michuano ya Shimuta inayoendelea Jijini Tanga. Kwa upande wa wanaume walivuta kamba na chuo cha DIT jana na kupata,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *