img

Staa Atua Harusini na Mademu Zake 6 Wajawazito

November 23, 2020

 

MSANII na mwanamitindo maarufu nchini Nigeria, Pretty Mike, aliibua gumzo kubwa katika jamii alipohudhuria harusi ya mwigizaji Williams Uchemba, huku akiwa na marafiki zake sita wa kike wakiwa wajawazito.

 

Katika kawaida yake ya kutaka umaarufu, Pretty Mike aliwatambulisha wanawake hao mmoja baada ya mwingine, jambo ambalo lilisambaa kwa haraka na kuwa kivutio kikubwa katika mtandao wa intaneti, mitandao ya kijamii na magazeti.

 

The post Staa Atua Harusini na Mademu Zake 6 Wajawazito appeared first on Global Publishers.

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *