img

Waziri-Polisi wana haki ya kukuua

November 22, 2020

KAMPALA, UGANDA  POLISI nchini Uganda wana haki ya kuua kwa kupiga risasi ikiwa kiwango fulani cha ghasia kitafikiwa, Waziri wa Usalama Elly Tumwine amesema. Makabiliano kati ya polisi na waandamanaji yalisababishwa na hatua ya kukamatwa kwa mgombea urais wa upinzani Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine yalisababisha vifo vya watu 37 tangu Jumatano wiki hii. Alishtakiwa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *