img

UTAFITI: NIMR wabaini wenye VVU wengi wana kisukari

November 22, 2020

Na AVELINE  KITOMARY, DAR ES SALAAM UTAFITI uliofanywa na Taasisi ya Taifa ya Magonjwa ya Binadamu(NIMR) umebaini kuwa wagonjwa wenye Virusi Vya Ukimwi (VVU) wanaotumia dawa wako hatari kupata ugonjwa wa kisukari. Akizungumza na MTANZANIA katika mahojiano maalum, Mtafiti kutoka  Taasisi hiyo, Dk. Jeremia Kidole alisema utafiti huo ulihusisha watu ambao hawana virusi vya Ukimwi ,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *