img

Tanzania yapata ‘dili’ usajili vizazi

November 22, 2020

Na ASHA BANI-DAR ES  SALAAM TANZANIA  imechaguliwa na Umoja wa Afrika (AU) kuwa kati ya nchi tano za Bara la Afrika zitakazoongoza kampeni ya kuongeza kasi ya Usajili wa Vizazi kwa watoto Barani Afrika inayojulikana kama “Bila kuwa na Jina; Utambulisho wa Kisheria kwa kila mtoto; Upatikanaji wa haki kwa kila mtoto” Kampeni hiyo inaendeshwa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *