img

Polisi wadaiwa kumshambulia ofisa wa Takukuru

November 22, 2020

Na GAUDENCY MSUYA-IKWIRIRI  ASKARI  wa jeshi la Polisi wa kituo cha Ikwiriri Wilayani hapa, wanatuhumiwa kumshambujia na kisha kumjeruhi ofisa mmoja waTaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), David Peter. Ofisa huyo pia anadaiwa kuwekwa kituo cha polisi cha Ikwiriri tangu Alhamisi saa 5.00 usiku na hadi jana mchana alikuwa hajaachiwa. Kwa mujibu wa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *