img

DC Mufindi ataka kaya zote kuwa na vyoo bora ifikapo 2022

November 22, 2020

Na Raymond Minja Mkuu wa wilaya ya Mufindi mkoani Iringa, Jamuhur William amebainisha kuwa hadi ifikapo mwaka 2022 atahakikisha kaya zote 59,152 za wilaya hiyo zina vyo bora na salama ili kujikinga na magonjwa ya mlipuko. Akizungumza kwenye kilele cha siku ya maazimisho ya usafi wa mazingira duniani ambayo kimkoa yalifanyika Tarafa ya Makangali, Kata,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *