img

Waajiri Arusha watakiwa kulinda wafanyakazi

November 21, 2020

Na Mwandishi Wetu Waajiri mkoani Arusha wametakiwa kuweka mfumo madhubuti ili kulinda wafanyakazi dhidi ya magonjwa na ajali katika maeneo yao ya kazi . Wito huo umetolewa leo Novemba 21, jijini Arusha na Katibu Tawala wa mkoa huo, Richard Kwitega alipokuwa akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa katika ufunguzi wa mafunzo maalumu ya Vision,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *