img

Majaliwa atoa siku 15 ujenzi Hospitali ya Uhuru kukamilika

November 21, 2020

Mwandishi wetu, Dodoma WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, ametoa siku 15 kwa uongozi ya Wilaya ya Chamwino, Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) na Suma JKT kukamilisha ujenzi wa Hospitali ya Uhuru katika Halmashauri ya Chamwino. Akizungumza mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa hospitali hiyo, alisema lengo ni kuhakikisha hospitali hiyo inazinduliwa na Rais Dk.,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *