img

KAIMU KATIBU MKUU MPYA YANGA AFUNGUKA HAYA

November 21, 2020

Zainab Iddy, Dar es salaam KAIMU Katibu Mkuu mpya wa Yanga, Hajji Mfikirwa,ametaja mambo matatu atakayoyasimamia kuhakikisha yanafanikiwa wakati wa utekelezaji wa majukumu hayo mapya. Akizungumza mara baada ya kutambulishwa kwa waandishi wa habari Makao Makuu ya Klabu ya Yanga jijini Dar es Salaam jana,Mfikirwa aliyataja mambo hayo kuwa ni kuhakikisha timu hiyo inatwaa ubingwa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *