img

ACT Wazalendo mtihani Zanzibar

November 21, 2020

Grace Shitundu -Dar es salaam CHAMA cha ACT Wazalendo ni kama kipo kwenye mtego unaowaweka njiapanda viongozi wa juu wa chama hicho baada ya kupewa nafasi ya kupeleka jina la Makamu wa kwanza wa Rais ili kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) visiwani Zanzibar. Hali inatokea kutokana na chama hicho kutangaza kutokukubaliana na matokeo,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *