img

Wagombea nafasi ya Mwenyekiti Kiteto hadharani

November 20, 2020

Na Mohamed Hamad Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa kimeteua majina kuwania nafasi za Uenyekiti katika halmashauri za wilaya kwa ajili yakupigiwe kura.Upande wa wilaya ya Kiteto mkoani Manyara majina mawili ya wanachama kati ya tisa yamepitishwa kuwania nafasi ya Uenyekiti wa halmashauri tayari kwa kupigiwa kura. Majina hayo ni, Abdallah Bundallah na Lairumbe Mollel ambaye,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *