img

Wafanyabiashara, wazalishaji bidhaa waitwa kuchangamkia tuzo za SADC

November 20, 2020

Na MWANDISHI WETU Wafanyabiashara na wazalishaji wa bidhaa nchini wametakiwa kushiriki katika shindano la utoaji tuzo bora kwa makampuni ya uzalishaji na watoa huduma itakayofanyika Machi, mwaka 2021 nchini Msumbiji katika mkutano wa mwaka unaoshughulikia vikwazo katika biashara kwenye Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADCTBT-Cooperation Structures). Akizungumza Jijini Dar es Salaam,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *