img

Tulia mgeni rasmi Miss Tanzania

November 20, 2020

Na JEREMIA ERNEST NAIBU Spika wa Bunge, Tulia Ackson anatarajiwa kuwa mgeni wa heshima katika mashindano ya miss Tanzania Desemba 5 katika ukumbi wa JNICC, jijini Dar es Salaam. Walimbwende takribani 20 kutoka kanda nane za nchi watachuana kuwania zawadi ya gari aina ya Subaru, pamoja na nafasi ya kushiriki mashindano ya dunia mwaka kesho.,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *