img

Majaliwa atao siku 15 Hospitali ya Uhuru

November 20, 2020

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ametoa siku 15 kwa uongozi ya Wilaya ya Chamwino, Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) na Suma JKT wahakikishe ujenzi wa hospitali ya Uhuru katika Halmashauri ya Chamwino unakamilika. Akizungumza mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa hospitali hiyo, Waziri Mkuu amesema lengo ni kuhakikisha hospitali hiyo inazinduliwa na Rais Dkt. John,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *