img

J Bwai kuachia kitu ‘Busy Body’

November 20, 2020

ONTARIO, CANADA BAADA ya kufanya vizuri na wimbo Imani, msanii wa kizazi kipya kutoka Ontario, Canada, Michael Baiye maarufu kama J Bwai, ametamba kuja kutikisa chati za muziki na ngoma mpya, Busy Body. J Bwai mwenye asili ya Cameroon, ameliambia MTANZANIA kuwa muda wowote kutoka sasa ataachia audio na video ya wimbo, Busy Body wenye,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *