img

GGML, NEEC waanzisha mafunzo kwa wafanyabiashara

November 20, 2020

NA MWANDISHI WETU KATIKA jitihada za kuwapatia maarifa na ujuzi wajasiriamali mkoani Geita juu ya mchakato wa manunuzi yanayofanywa na Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML), kampuni hiyo imefadhili mafunzo maalum yanayoratibiwa na Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC). Mafunzo hayo ni matokeo ya makubaliano yaliyofikiwa na GGML na NEEC Julai 20,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *