img

DC Mufindi aagiza kulindwa kwa vyanzo vya maji

November 20, 2020

Na Raymond Minja Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Mkoni Iringa, Jamhuri William amewataka viongozi wa Kata, tarafa na vijiji kuhakikisha wanasimamia vyema na kulinda vyanzo vya maji ili kupunguza uharibu wa vyanzo hivyo. Wiliam ametoa agizo hilo wakati wa kutembelea chanzo cha maji katika kijiji Ludilo kata ya Mdabulo na kukuta kuwepo kwa uharibifu mkubwa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *